Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa mafuta wasababisha vituo vingi kusalia mahame Nairobi, Mombasa na Nyeri

  • | Citizen TV
    1,196 views
    Duration: 2:23
    Vituo vingi vya kuuza mafuta vimeendelea kusalia mahame kwa uhaba wa petroli na dizeli huku magari yakilazimika kutafuta vituo vichache vinavyouza mafuta. Madereva wakilalamikia mahangaiko ya kupata mafuta. Kutoka Nairobi hadi Mombasa na Nyeri, uhaba huu wa mafuta umeripotiwa.