Uhaba wa pesa vyuoni

  • | Citizen TV
    1,020 views

    Licha ya serikali kuanza kutekeleza mpango mpya wa kufadhili wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu, vyuo vikuu nchini vinaendelea kukumbwa na uhaba wa fedha kufanikisha shughuli zake. Na huku wanafunzi wanapoanza masomo yao juma hili, vyuo vikuu vinalalamikia uhaba wa takriban shilingi bilioni 30. Chemutai Goin anaarifu kuhusu changamoto hizi na msimamo wa wizara ya elimu