Uhaba wa vyoo katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | West TV
    91 views
    Mikakati ya wizara ya afya katika kaunti ya Trans Nzoia ya kupambana na magonjwa yanayotokana na uchafu huenda likahitajika zaidi kwani imebainika kuna uhaba mkubwa wa vyoo katika kaunti hiyo