Uhaba wa wahudumu, upungufu wa fedha ni changamoto kuu katika utoaji huduma bora za afya mashinani

  • | KBC Video
    10 views

    Uhaba wa wahudumu wa afya waliohitimu pamoja na upungufu wa fedha magatuzini vinatatiza utoaji huduma bora za afya mashinani. Wadau wa mashirika ya kijamii sasa wanawataka wenzao katika sekta ya afya kushirikiana katika kushughulikia changamoto hizi .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News