Uhaba wa walimu waathiri masomo katika shule za umma

  • | Citizen TV
    280 views

    Ukosefu wa walimu katika shule za umma pamoja Na wanafunzi kukosa kuhudhuria masomo zimetajwa kama changamoto kuu zinazochangia pakubwa kwa matokeo duni pwani.