- 23,803 viewsDuration: 53sMwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu, amefikishwa mahakamani Dar es Salaam leo kwa muendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili. - CHADEMA imetoa wito kwa wanachama na wananchi kwa ujumla kufuatilia kwa umakini muendelezo wa kesi hii, kwani “inatoa taswira muhimu ya demokrasia na haki nchini Tanzania.” - - - #tanzania #bbcswahili #tundulissu #chadema #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw