- 38 viewsDuration: 3:30Shughuli inayoendelea ya uhakiki wa shule kufikia sasa imebainisha kwamba kuna zaidi ya wanafunzi bandia elfu 50 katika shule mbali mbali za sekondari. Katibu katika idara ya elimu ya msingi Profesa Julius Bitok aliiambia kamati ya bunge la kitaifa kuhusu elimu kwamba takriban shule elfu 17 zimehakikiwa kufikia sasa huku nyingi ya kasoro zikigunduliwa katika shule za sekondari. Na jinsi Gichuki Wachira anavyoripoti, serikali sasa inasema kucheleweshwa kwa pesa za kugharamia masomo kwa shule kumesababishwa na shughuli hiyo ya kuhakiki idadi kamili za wanafunzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive