Uhamasisho kuhusu kusomesha watoto shuleni kaunti ya Narok

  • | K24 Video
    28 views

    Afisa wa kaunti ya Narok ameanzisha mfumo wa "capture" ambapo mifugo inayomilikiwa na wazazi wanaokataa kuwasomesha binti zao inapigwa mnada kwa nguvu ili kuwalipia ada za shule watoto hao. Kamishna wa kaunti ndogo ya Narok kusini Felix kisalu amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa sababu wenyeji wengi wanakataa kuwasomesha wasichana wao licha ya kuwa na idadi kubwa ya mifugo.