Uhamasisho kuhusu tiba ya saratani ya mlango wa uzazi

  • | K24 Video
    22 views

    Januari ni mwezi wa kutoa hamasa ya saratani ya njia ya uzazi, wataalamu wanasema uchunguzi wa mapema ni muhimu, kwani utafaulisha tiba ya saratani ya mlango wa uzazi ikiangaziwa mapema. Mazungumzo na Mercy Wambui aliyepona saratani ya mlango wa uzazi na kutuandalia taarifa ifuatayo.