Uhamasisho kwa wajane Kwale

  • | Citizen TV
    288 views

    Wajane katika kaunti ya Kwale wameendelea kupewa hamasa kuhusu mbinu za kupata haki za umiliki wa mali waume wao wanapoaga dunia.