Uhamasisho zaidi kwa umma kuhusu bima ya afya ya jamii unahitajika ili kufanikisha utekelezaji

  • | KBC Video
    37 views

    Uhamasisho zaidi kwa umma kuhusu bima ya afya ya jamii unahitajika ili kufanikisha utekelezaji wa mpango wa afya ya jamii. Mwenyekiti wa hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu-NHIF mhandisi Michael aliyezungumza wakati wa hafla ya kutoa shukrani ya wafanyikazi wa chama cha KUDHEIHA katika kanisa la All saints alisema alisema Wakenya wote wako tayari kunufaika na mchango wa asilimia 2.75 ya mapato yao kwa hazina ya afya ya jamii. Wale ambao hawawezi kumudu michango hiyo watalipiwa na serikali. Wakenya wasio na ajira ambao awali walikuwa wakilipa shilingi 500 kwa hazina ya NHIF kila mwezi sasa watalipa shilingi-300 kulingana na uwezo wao wa kulipa pesa hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive