Uharibifu katika maeneo ya makazi kwenye ujirani Gaza City kufuatia mashambulizi ya anga ya Israeli

  • | VOA Swahili
    375 views
    Video iliyochukuliwa kwa droni: Uharibifu katika maeneo ya makazi kwenye ujirani Gaza City kufuatia mashambulizi ya anga ya Israeli Israeli ilipiga mfululizo wa mabomu huko Gaza City Jumanne baada ya kuapa kulipiza kisasi ambacho kitaacha athari kwa vizazi vijavyo” dhidi ya kikundi cha wanamgambo cha Hamas kutokana na shambulizi lao la kushtukiza la wikiendi. Jeshi la Israeli lilisema limelenga mashambulizi katika mamia ya maeneo huko Gaza City katika ujirani wa Rimal, ambao una idadi kubwa ya watu, wilaya ambayo ina wizara za serikali zinazoendeshwa na Hamas, pia vyuo vikuu, vyombo vya habari na ofisi za mashirika ya misaada. Baada ya saa kadhaa za mfululizo wa mashambulizi, baadhi ya wakazi waliondoka majumbani mwao asubuhi mapema wakigundua baadhi ya majengo yamepasuka kutokana na mashambulizi hayo na mengine kuwa ni kifusi na zege lililosambaa. - AP #israel #gaza #reels #igreels #videography#voa #hamas #airstrike
    airstrike