Uharibifu katika mji wa Gaza

  • | BBC Swahili
    4,537 views
    Picha za angani zinaonesha uharibifu mkubwa katika mji wa Gaza, huku Israel ikiendelea kushambulia maeneo yanayolengwa Gaza. Ubalozi wa Israel nchini Marekani unasema idadi ya waliofariki katika upande wa Israel sasa imeongezeka na kufikia takriban watu 1,008, katika shambulio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya miaka 75 ya nchi hiyo. Idadi ya Wapalestina waliouawa na mashambulizi ya anga ya Israel tangu Jumamosi imeongezeka na kufikia takriban watu 900. #bbcswahili #israel #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw