Uhayawani Migori | Msichana wa miaka 3 abakwa na kuuwawa

  • | KBC Video
    29 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ya Migori wanamzuilia mwanamume aliyemnajisi mtoto wa miaka matatu na kisha kumuua na kutupa wmwili wake chooni. Kamanda wa polisi katika kaunti ya Migori Mark Wanjala alisema mshukiwa huyo allikiri kutekeleza unyama huo na atashtakiwa pindi uchunguzi utakapokamilika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ubakaji #News #mauaji #Migori