Uhifadhi wa ndovu waimarika Kenya

  • | K24 Video
    61 views

    Kenya imeshuhudia ongezeko la ndovu kufuatia uhifadhi wake ambao umepewa kipaumbele. Hata hivyo visa vya watu kuvamiwa na ndovu vimekuwa vikiongezeka hasa wakati wa kiangazi, hali ambayo imetajwa kuchangiwa pakubwa na mabadiliko ya tabia nchi,na uvamizi wa njia za ndovu na binadamu. Jinsi uhifadhi wa ndovu umekua sio kenya tu, bali pia barani afrika.