- 2,668 viewsDuration: 2:59Kinara wa chama cha Jubilee, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa viongozi kuwacha siasa za makabiliano na badala yake kuwasilisha sera zao kwa wakenya. Akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa chama hicho kutoka kaunti ya Murang'a mjini Thika, Uhuru aliyeandamana na naibu wa chama Fred Matiang'i alirai serikali ya William Ruto kuwajumuisha vijana kwenye maamuzi muhimu na uongozi wa taifa