Uhuru Kenyatta atetea mrengo wa Jeremiah Kioni katika mvurugano wa Jubilee

  • | Citizen TV
    7,448 views

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametetea mrengo wa chama cha Jubilee unaongozwa na Jeremiah Kioni baada ya juhudi za mrengo wa Kanini Kega kujaribu kuingia katika ofisi za chama hicho kutibuka