- 1,343 viewsDuration: 4:34Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na mwenzake mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo wamemuomboleza Raila Odinga kama kiongozi shupavu wa bara Afrika aliyeshikilia kwa karibu jukumu la kubadilisha bara zima. Obasanjo aliyehusika pakubwa katika juhudi za amani baada ya chaguzi kuu zilizozua tofauti za kisiasa amesema maisha ya Raila yaliashiria uvumilivu na upendo na kujitolea