Uhusiano baina ya Kenya na Uchina wapigiwa upatu

  • | KBC Video
    42 views

    Kenya imejiunga rasmi na benki ya bara Asia ya uwekezaji katika muundo msingi baada ya kuratibishwa na rais William Ruto kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Beijing, China. Rais Ruto alisema kuwa hatua hiyo itaiwezesha Kenya kupata ufadhili kwa kiwango cha chini cha riba kwa mipango muhimu ya maendeleo, juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga na pia uunganishaji na ile inayotumia teknolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive