uingereza na Kenya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    104 views

    Ushirikiano kati ya Uingereza na Kenya umeweka masuala ya tabianchi, sayansi, na teknolojia kuwa nguzo kuu ya ajenda yake, na kufungua milango kwa mawazo bunifu na suluhisho za kuimarisha mazingira katika hafla ya kutuza washindi wa EarthShot prize.