Uingereza na Rwanda zatia Saini mkataba mpya wa waomba hifadhi

  • | VOA Swahili
    2,438 views
    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza James Cleverly ametia saini mkataba mpya na Rwanda siku ya Jumanne akijaribu kukabiliana na uamuzi wa mahakama wa kuizuia sera tata ya serikali ya Uingereza ya kuwapeleka waomba hifadhi katika taifa la Afrika Mashariki. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. #rwanda #uingereza #mkataba #hifadhi #wahamiaji #wakimbizi #voa #voaswahili #dunianileo