Uingereza yasema 'tutasimama na Ukraine' katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    3,715 views
    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wametoa taarifa ya pamoja wakisema kuna fursa ya hatua kupigwa katika mkutano wa Marekani hapo kesho mradi tu Rais Putin achukue hatua kuthibitisha kuwa ana nia ya dhati kuhusu amani. Huu ni msukumo wa mwisho wa matakwa ya Ukraine na Ulaya kusikilizwa kabla ya Rais wa Marekani Donald Trump kukutana na Vladimir Putin wa Urusi huko Alaska kujadili mpango wa kumaliza vita nchini Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw