Ujenzi wa barabara ya Dongo Kundu waratibiwa kukamilika ndani ya miezi miwili ijayo

  • | K24 Video
    408 views

    Ujenzi wa barabara ya Dongo Kundu umeratibiwa kukamilika ndani ya miezi miwili ijayo. Barabara hiyo itakayounganisha kaunti za Mombasa na kwale itarahisisha uchukuzi pamoja na kuipiga jeki sekta ya utalii iliyoathiriwa na utumizi wa kivuko cha likoni pekee. Fredrick Kai anaangazia zaidi mradi ulipofikia kwa sasa ambapo kukamilika kwake kunategemea kushughulikiwa kwa changamoto za kifedha.