Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara ya Kitale - Morpus unatarajiwa kukamilika Novemba 2027

  • | Citizen TV
    5,000 views
    Duration: 3:13
    Barabara kuu ya Kitale–Morpus inatarajiwa kupata sura mpya ifikapo mwezi Novemba mwaka ujao, hatua inayolenga kurahisisha shughuli za uchukuzi na biashara pamoja na kuimarisha usalama wa watumiaji wake. Mradi huo pia utahusisha ujenzi wa njia mbili katika maeneo yanayokumbwa mara kwa mara na ajali ili kupunguza hatari na kuokoa maisha.