Ujenzi wa barabara ya moja kwa moja kutoka JKIA wazua balaa

  • | Citizen TV
    Mradi wa ujenzi wa baabara kuu ya moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta hadi westlands ulianza hivi karibuni. Lakini mradi huo umekuja na athari zake huku waendeshaji magari wakilazimika kuhangaika barabarani.