Ujenzi wa Barabara ya Nairobi expressway kungo'a nanga

  • | Switch TV
    Ni mwezi moja tangu rais uhuru kenyatta kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa barabara ya nairobi expressway aidha mradi huo umeibua hisia tofauti miongoni mwa wakenya huku wengi wao wakiwa na maswali chungu nzima kuhusiana na mradi huo Yasmin Hamdan ana uketo wa utata huo kuhusiana na mradi huo