4 Sep 2025 1:42 pm | Citizen TV 296 views Duration: 1:19 Ujenzi wa bwawa la mwache kaunti ya kwale umefikia 46% maji ya bwawa hilo yatasambazwa kaunti za kwale na mombasa mwakilishi wa benki ya dunia akagua mradi wa bwawa la mwache