Ujenzi wa gati unaofanywa na Marekani huko Gaza unachukua wiki kadhaa kukamilika

  • | VOA Swahili
    45 views
    Marekani inapeleka timu ya Jeshi kujenga gati linaloelea kwa ajili ya kurahisisha upelekaji misaada lakini huko Gaza, lakini mwandishi wa VOA Carla Babb anaripoti, kuwa kazi hiyo itachukua wiki kadhaa kukamilika. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.