Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa hospitali mpya ya mafunzo na rufaa ya Moi wazinduliwa

  • | NTV Video
    224 views
    Duration: 2:25
    Ujenzi wa hospitali mpya ya mafunzo na rufaa ya Moi umezinduliwa hii leo katika eneo la Kiplombe kaunti ya Uasin Gishu. Hospitali hiyo inatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18 ukiwa ni mradi ambao utasimamiwa na idara ya ulinzi na kutekelezwa na usimamizizi wa wanajeshi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya