Ujenzi wa kituo cha afya wazinduliwa katika mitaa ya Saina, Majenga na Anex Kajiado

  • | Citizen TV
    350 views

    Wakazi wanaoishi katika mitaa ya Saina, majenga na Anex Kajiado wanatarajiwa kupata afueni ya huduma za matibabu karibu nao baada ya serikali ya Kaunti ya Kajiado kuanzisha ujenzi wa kituo cha afya katika mtaa huo. Akizindua mradi huo ambao ujenza wake unatarajiwa kukamilika baada ya miezi sita Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku amesema baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho cha afya kitasaidai kupunguza msongamano ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Kajiado. Robert Masai anaarifu zaidi.