Ujenzi wa soko la Uhuru kukamilika mwisho wa Mwaka

  • | Citizen TV
    75 views

    Kamati ya Kitaifa ya inayosimamia Miradi ya mipango na ujenzi nyumba mijini imeelezea mtumaini kwa ukamilisho wa mradi wa Soko la Uhuru mjini Narok ifikapo mwisho wa mwaka