Ujenzi wa taasisi ya kutoa mafunzo haya wazinduliwa eneo la Bumula

  • | Citizen TV
    222 views

    Mbunge wa Bumula Jack Wamboka ameongoza viongozi wa eneo bunge hilo kuzindua rasmi ujenzi wa chuo cha matibabu cha Bumula katika eneo hilo, huku viongozi hao wakiwa na kauli moja kwa wazazi kuwapa wanao nafasi za elimu