Ujenzi wa uwanja wa Kwale

  • | Citizen TV
    698 views

    Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma achani amezindua awamu ya tatu ya ujenzi wa uwanja wa kaunti ya Kwale ulioko kinarini eneo bunge la Matuga.