- 17,374 viewsDuration: 2:45Idara ya polisi inamtafuta dereva wa mbunge wa Kibra Peter Orero, baada ya wawili hao kunaswa kwenye video wakikiuka sheria za barabarani, na kuwakosea heshima waendeshaji magari wengine. Kwenye kisa ambacho kimezua hasira mitandaoni, Mbunge huyo anaskika akimuagiza aliyekuwa anarekodi kanda hiyo kuipeleka kwa rais Ruto, kama angetaka hatua yoyote kuchukuliwa dhidi yake.