Ujumbe kutoka Wuhan: ‘Jifunzeni kutokana na makosa yetu kutokana na virusi vya Corona'

  • | BBC Swahili
    Mji wa Wuhan nchini China, ambao ndio chanzo cha mlipuko wa virusi vya corona hatimaye umekamilisha karantini ya wiki 11 huku maambukizi na vifo vikiisha. Huku wakitoka katika amri hiyo ya kutotoka nje , wakaazi wamekuwa wakizungumzia walichojifunza kutokana na mlipuko huo na kutoa maneno ya kutia moyo kwa watu wengine duniani. #Wuhan #VirusivyaCorona #Covid-19