Ujumbe wa ECOWAS watarajiwa kuwasili Burkina Faso kutuliza taharuki ya mapinduzi

  • | VOA Swahili
    1,315 views
    Ujumbe kutoka ECOWAS unatarajiwa kuwasili nchini Burkina Faso Jumatatu kujaribu kurejesha utulivu kufuatia mapinduzi ya pili nchini humo mwaka 2022. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.