Skip to main content
Skip to main content

Ujumbe wa Kenya kuhusu vita vya Marekani na Iran

  • | Citizen TV
    6,855 views
    Duration: 1:06
    Rais William Ruto ametuma ujumbe kuwa Kenya inalaani vikali mashambulio dhidi ya UAE, Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaozidi kuongezeka katika Mashariki ya Kati.