Ukaguzi wa saratani ya umio kupitia teknolojia ya Endoskopi

  • | West TV
    133 views
    Ugonjwa wa saratani haswa saratani ya umio au cancer of oesophagus unaendelea kuwa ugonjwa unaogunduliwa kwa wakazi wa kaunti za vihiga na kaunti jirani gharama za matibabu wa ugonjwa huo ikiwa kubwa mno, kuchelewa kugunduliwa kwake kukitajwa kuchangia pakubwa kuenea kwa ugonjwa huo Kwa kuelewa zaidi ugonjwa huu mwanahabari wetu sheldon asakhulu alimhoji daktari faith mugora odwaro mtaalam wa vipimo vya almaarufu endoscopy