Ukame waathiri wanafunzi wa shule ya msingi ya Bobo kaunti ya Lamu.

  • | Citizen TV
    318 views

    Asilimia 75 ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Bobo ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu katika kaunti ya Lamu wameshindwa kufunga saumu ya Ramadhani kutokana na makali ya njaa. Kulingana na walimu wao, wao ni kana kwamba wamekuwa wakifunga mfululuzo kwani hawana chakula.