Ukarabati wa barabara hiyo utapanua uchumi

  • | TV 47
    Itakapo kamilika, barabara inayo unganisha mji wa Naivasha na kaunti ya Nyandarua itaimarisha huduma muhimu haswa katika sekta ya kilimo kwani eneo hilo la Mariagushu hutoa zao la shamba kwa wingi. #UpeoWaTV47