Ukarabati wa bustani ya ukumbusho ya Michuki wafaidi pakuwa wakenya

  • | KBC Video
    Ukarabati wa bustani ya ukumbusho ya Michuki haulipi tu taswira mpya jiji la Nairobi,lakini pia umewapa tumaini watu kadhaa ambao hawakuwa na makazi. Zaidi ya watu 140 wamenufaika kutokana na mradi huo unaotekelezwa kwa kima cha shilling million 30 zilizotengwa na serikali.Na kama anavyotujuza mwana habari wetu Betty Kiptum,juhudi hizo zinalenga kuthibiti mabadiliko ya hali anga,ambayo kulingana na shirika la umoja wa mataifa la uhifadhi wa mazingira ndiyo tishio kuu kwa ulimwengu mzima katika karne ya 21. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive