Ukatili dhidi ya Sagini | Mashtaka dhidi ya washukiwa yalegezwa

  • | KBC Video
    27 views

    Washukiwa watatu wanaodaiwa kumnyofua macho mtoto Sagini watajibu mashtaka ya kumuumiza mtoto huyo. Alex Ochogo, Rael Nyakerario na Pascipicah Nyakerario ambao wamekanusha mashtaka hayo na pia ni jamaa wa mtoto huyo walikuwa wakitarajiwa kujibu shtaka la kujaribu kuua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News #babysagini