Ukatili wa Chifu

  • | Citizen TV
    569 views

    Mwanamke mmoja kutoka Chebunyo kaunti ya Bomet analilia haki baada ya kudhulumiwa na chifu na wanaume wengine. Picha za mwanamke huyo akipiga mayowe huku wanaume wakijaribu kumfunga kw akamba zimeenea mitandaoni na kuzua hasira. inaarifiwa kuwa chifu alikuw aakijaribu kumkamata kufuatia mzozo wa ardhi.