Ukatili wa kijinsia ni nini haswa?

  • | BBC Swahili
    339 views
    Dunia inaadhimisha siku kumi na sita za uhamasishaji dhidi ya ukatili wa kijinsia. Siku hizo ni za mashirika ya kijamii kujaribu kukomesha unyanyasaji wa kijinsia unaowaathiri zaidi wanawake. Leila Mohammed anaelezea zaidi #bbcswahili #wanawake #unyanyasajiwakijinsia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw