Ukeketaji ungalipo Baringo, West Pokot na Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    80 views

    Licha ya ahadi ya serikali ya Kenya kumaliza ukeketaji ifikapo mwaka 2030, visa vya wasichana kukeketwa vinaendelea kushuhudiwa katika kaunti za Baringo, West Pokot na Elgeyo Marakwet