Skip to main content
Skip to main content

Ukia wa mbakaji: Mtoto wa miezi tisa abakwa, anatibiwa hospitalini

  • | Citizen TV
    2,033 views
    Duration: 1:23
    Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi tisa anauguza majeraha mabaya katika hospitali ya rufaa ya Busia baada ya kubakwa katika kijiji cha Khuyala, eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia.