- 6,146 viewsDuration: 1:38'Ukiona mtu anakutamkia majina hadi ya wanyama hiyo ni ishara ya ukatili kewenye ndoa' - Viwango vya ndoa kuharibika vinaendelea kuongezeka kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo migogoro ya kifamilia, matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa mawasiliano mazuri kati ya wanandoa, pamoja na athari za mitandao ya kijamii. - Martha Saranga amezungumza @auntsadaka mtaalamu wa saikolojia na malezi,na @kalungu_psychomotive mtaalamu wa afya ya akili wanaangazia hili kwa kina. - - - #bbcswahili #familia #ndoa #unyanyasaji #unyanyasajikingono #unyanyasajiwakijinsia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw