'Ukisema kipopoo, mtu unakuwa una hamu nacho, huli mpaka Ramadhani'

  • | BBC Swahili
    729 views
    Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakianza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni kipindi ambacho baadhi ya vyakula vya tunu hupikwa kwa ajili ya futari. Moja kati ya vyakula hivyo ni vipopoo au kwa jina jingine vitobwesha, ambavyo ni maarufu kipindi hiki kwa watu wa ukanda wa pwani. Mwandishi wa BBC, Rashid Abdallah @rashiidabdallah alimtembelea mpishi Khadija Zahor @didas_sweet_collection kujua namna chakula hiki kinavyoandaliwa. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #ramadhani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw