Uko tayari kuendeshwa na gari lisilo na dereva? katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    602 views
    #bbcswahili #magari#teknolojia Kampuni ya kutengeneza magari ya Nissan kutoka Japan inasema imekamilisha hatua ya mradi wa kutengeneza magari yasiyo na madereva. #bbcswahili #magari#teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili