Ukoo wa Borowo, Kipsigis watafuta kufidiwa kwa dhulma za kihistoria

  • | KBC Video
    14 views

    Watu wa ukoo wa Borowo katika jamii ya Wa-Kipsigis waliandaa maombi maalum katika uwanja wa michezo wa Kapkatet kaunti ya Kericho kushinikiza malipo ya fidia kutokana na dhulma za kihistoria zinazodaiwa kutekelezwa na utawala wa Ukoloni wa Uingereza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive